Alhamisi, 11 Julai 2013

hii ndio sehemu walipozikwa wapendwa wetu. mzee hussein seseme, mzee abdallah seseme ,mzee omary seseme, pia na watato zao Bw. athumani hussein, Bw Jafary Hussein,Bw Ramadhani Hussein, bi kibibi, bi mwadawa, bi mwakama, bi shida, bi Mwamvita, bw omary, Bw Mwamadi, Bw rajabu,Bi mwajabu, Bi mwadawa,Bi ashura, Bi mwajuma wakiwemo wajukuu na vitukuu. INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAAJIUN

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni