Alhamisi, 5 Septemba 2013

WALIOWAHI KUWA NA NYADHIFA

tutakuwa tukiwaletea wazee wetu waliowahi kushika nyadhifa mabalimbali ndani na nje ya Tanzania.
je, unamfahamu mzee OMARY HUSSEIN SESEME?
 huyu ni mtoto wa pili kati ya watoto sita wa mzee HUSSEIN SESEME kwa upande wa tumbo la BI, TABU BINTI SAALUM, maarufu kamam HEYAHEYA.
mzee huyu alifanikiwa kuwa na watoto nane(8)

1.Seseme, 2.Abdu 3.Mahmud, 4. Feli, 5. Abasi, 6.Shabani, 7.Safia, 8.Salum.
katika harakati zake za maisha,  alikuwa Askari Magereza, mpaka anastaafu alikuwa na cheo kikubwa sana katika jeshi hilo....................................
 fuatilia kuijua historia yake,alikozaliwa,alikosoma na alikuwa na wake wangapi